Will do this as from tomorrow.
Thanks
2011/9/18 Eleri James <elerijms(a)yahoo.co.uk>
Wikimedia Foundation wataanza hivi karibuni kuomba
michango ya pesa kwa
ajili ya gharama za mwaka ujao. Wameweka maandishi yanayotumiwa katika kazi
hiyo kule meta -
http://meta.wikimedia.org/wiki/Fundraising_2011/Core_messages/sw. Kama
kuna mtu ambaye yuko tayari kuhariri 'Core messages' au kutafsiri 'Jimmy
letter 001' nitashukuru. Kama unapata taabu isiyojibiwa haraka kule meta,
jaribu kuuliza katika Wikipedia -
http://sw.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Jumuia#Kutafsiri_fundraiser_2011.
Eleri James
_______________________________________________
WikimediaKE mailing list
WikimediaKE(a)lists.wikimedia.org
https://lists.wikimedia.org/mailman/listinfo/wikimediake
--
Isaac K. Kosgei.
Bachelor of Agribusiness Management
+254727553981
*SkypeProfile: *Kipsizoo
*My Linkedin Profile <http://www.linkedin.com/in/kipsizoo>*
*twitter Page <http://twitter.com/#%21/kipsizoo>*
*My Blog <http://kipsizoo.blogspot.com/>
"My satisfaction comes from my commitment to advancing a better world" *-
Faye Wattleton