Kwa Wapenzi na Wapambe wa WMKE Wasaalam kutoka kwangu nikitarajia mpo vyema.Dhamira yangu ya kuandika barua hii ni kuwasii enyi wapenzi na wapambe wa WMKE tuwe na maelewano na kushirikiana katika shughuli zetu a kuendeleza ukuajia wa Wikipedia na usambazaji wa habari kwa wote
==Mizozo== Mara si haba nimetazama tukizomeana vikali(miye nkiwemo) katika nyuzi kadhaa a barua pepe.Swali langu ni kwa nini tuzomene ilhali sote tumejitolee kwa hiari kuandeleza usambai wa habari?pengine wengine wetu hatufahamu ni kwa nini tupo kwenye kundi hili le WMKE...hilo ndo jibu nimeng'amua kwa uchungu.kwa nini?ukitazama kwa umakini,nyuzi ziletazo udhia na tafash ni zile zilizo za kitu fulani,yaani "faida".utapata kila watu wachangia katika uzi huo sana.kinachokera sana ni tunapokuwa na uzi wa kung'amua na kuchangunua makala au miradi inayoohusu WMKE(kama vile Bylwas,WTN) nk,ni wachache sana hujitokea kuchangia kwa miradi hizi.Ilhali miradi hii haswa ndio maana ya kuwepo kwa WMKE na sio zile a "faida"
==kukosoana== Ni vyema kukosoana kila mara tunapoteleza.Miye nafurahi kukosolewa au mtu kukosoa mawazo au michango yangu.Lakini nadhani ingekuwa vyema tukosoane kwa heshima na pia toa suluhu au wazo mbadala,sio tu kunikosoa bila sababu.
==Heko== Mara nyingi tumesaha jinsi ya kuwapa na kutia watu motisha.Ningepende tusikosoane tu,bali kuwapongeza wenzetu na kuwapa heko kwa kazi nuri walo/wafanyazo.Hekow huwatia watu motisha wa kuendela kufanya vyema.Kwa hayo,miye binafsi ningependa kuwatia wafuata heko kwa kazi yao/michango yao katika kukua miradi na WMKE
*Abbas-anashughulika maswala ya sheria(Bylaws) na pia anauunda wavuti(website) wetu kwa sasa...heko Abbas:-) *Alex-anashughulika mawsala ya WTN na pia yeye alitutengezea posta maridadi ya WikiSaturday ya JKUAT...kazi nzuri Alex *Steve-alisughulika na kuanda makala ya WikiSaturday ya JKUAT na pia ni mshrika mkuu.Alipiga chapa na kusambaza posta za WikiSaturday kwa kutumia hela ake...Heko Steve
...kama sijakutaja samahani,sijataka kuwahudhi watu na barua refu...sku nyingine na sijakusudia.
Tafadhali:Nawaomba wanachama kutazama wavuti wa Wikipedia Takes Nairobi Hapa:http://en.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Wikipedia_takes_Nairobi/Goals na kuchangia ili tufanikishe mradi huu. Pia naomba wanachama watazame makala ya Abbas ya Sheria na kuyapiga msasa na kuchanganua kabla yatumwe kwani hizi ndizo sheria zitakazo tuongoa na ni vyuema kutoa mchango wako. Mwsiho tazama wavuti wetu hapa: http://wikimedia.or.ke/Visit_of_Asaf_Bartov_from_the_Wikimedia_Foundation ili tujadiliane kuhusu kuja kwa Asaf na vile twaweza kufaidi kwa ziara yake.
p/s:nimetumia Swahili maana haya ni mambo yetu ya "ndani",..-)
Shukran kwa kutkumbusha :-)
Date: Sun, 26 Jun 2011 16:03:57 +0300 From: oslimoke@gmail.com To: wikimediake@lists.wikimedia.org Subject: [Wikimedia Kenya] Mwito wa Maelewano

Limoke Oscar,
WikimediaKE mailing list WikimediaKE@lists.wikimedia.org https://lists.wikimedia.org/mailman/listinfo/wikimediake
wikimediake@lists.wikimedia.org