Wikimedia Foundation wataanza hivi karibuni kuomba michango ya pesa kwa ajili ya gharama za mwaka ujao. Wameweka maandishi yanayotumiwa katika kazi hiyo kule meta - http://meta.wikimedia.org/wiki/Fundraising_2011/Core_messages/sw. Kama kuna mtu ambaye yuko tayari kuhariri 'Core messages' au kutafsiri 'Jimmy letter 001' nitashukuru. Kama unapata taabu isiyojibiwa haraka kule meta, jaribu kuuliza katika Wikipedia - http://sw.wikipedia.org/wiki/Wikipedia:Jumuia#Kutafsiri_fundraiser_2011.

Eleri James