Hi,
I cannot understand anything.It looks to me like just an arrangement of words!!

SOMETHING NEEDS TO BE DONE.

REGARDS,

2011/4/22 Oliver Stegen <oliver_stegen@sil.org>

PS: To those of you who’re still convinced of Google translator’s effectiveness when it comes to translating between English and Swahili; just look at its translation of my first paragraph and decide for yourself how much you understand (and whether you’d want such a translation in Wikipedia):

Nina J'mosi something about the Wikipedia. Mkichangia articles Kiswahili (http://sw.wikipedia.org) Do not use while the translation of Google (http://translate.google.com/toolkit/) indiscriminately. First you must ensure that the target article ijaandikwa yet. If not you can delete the information that zimeshaingizwa another. So it did e.g. just yesterday with an article of author Marjorie Oludhe Macgoye Kenya, look here: http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Marjorie_Oludhe_Macgoye&diff=next&oldid=545629
It is true, in part a translation of the Google of yesterday had improved article on November 16, 2010 except for the greater part was badly affect, eg [[Category]] zilirudishwa all the [[Category]], and "category" false and also a link to [[fi:]] kilifutwa and many other things. Do not do it. It is the use of such distraction that our old wikipedia yamemkasirisha Pala. He is a "bureaucrat" to rely so often help. Msimkasirishe. Thank you!

Thanks!

Oliver (aka BT)

 


From: wikimediake-bounces@lists.wikimedia.org [mailto:wikimediake-bounces@lists.wikimedia.org] On Behalf Of Oliver Stegen
Sent: 22 April 2011 07:44


To: 'The discussion list for the upcoming Wikimedia Kenya chapter.'
Subject: Re: [Wikimedia Kenya] WikiSaturday

 

Sawa.

 

[Caveat: The following is some detailed advice about contributing to the Swahili wikipedia, esp. how to avoid Google translator due to problems of over-writing articles and how to use some wiki conventions.]

 

Nina jambo lingine kuhusu J’mosi ya Wikipedia. Mkichangia makala za Kiswahili (http://sw.wikipedia.org) msitumie kitambo cha utafsiri cha Google (http://translate.google.com/toolkit/) ovyoovyo. Kwanza lazima kuhakikisha kwamba makala lengwa haijaandikwa bado. Msipofanya hivyo mngeweza kufuta habari ambazo zimeshaingizwa na mwingine. Ndivyo ilivyofanyika k.m. jana tu na makala ya mwandishi wa Kenya Marjorie Oludhe Macgoye, angalieni hapa: http://sw.wikipedia.org/w/index.php?title=Marjorie_Oludhe_Macgoye&diff=next&oldid=545629

Ni kweli, kwa sehemu mtafsiri wa Google wa jana aliboresha makala ya tarehe 16 Novemba 2010 ila kwa sehemu kubwa zaidi aliiathiri vibaya, k.m. [[Jamii]] zote zilirudishwa kwenye [[Category]], tena “category” za uongo; pia kiungo cha [[fi:]] kilifutwa na mambo mengi mengineyo. Msifanye hivyo. Ni matumizi ya ovyo kama hayo ambayo yamemkasirisha mzee wetu wa wikipedia Kipala. Naye ni “bureaucrat” kwa hivyo mtamtegemea mara kwa mara kuwasaidieni. Msimkasirishe. Asanteni!

 

Kwa mashauri mengine, angalieni nilivyomwandikia ndugu yetu Limoke mwaka jana (http://sw.wikipedia.org/wiki/Majadiliano_ya_mtumiaji:Mpmayenge):

Ndugu Limoke, salaam! Wakati wa shindano, makala nyingi zimeanzishwa bila kuwekewa yaliyomo hata kidogo, nasi wanawikipedia hatukuwa na nafasi ya kurekebisha sana. Kwa hiyo sasa, naomba tusaidiane kusawazisha hizo makala. Kwa mfano, ungeweza kuanza kwa kuangalia orodha ya makala bila jamii. Bila shaka utagundua kadhaa ambazo ni duni, labda yenye maneno mawili matatu tu. Ndivyo nilivyogundua k.m. na makala ya Henri Fayol, mhandisi Mfaransa wa karne ya 19. Sasa ukiangalia mabadiliko niliyoyaingiza utapata mambo ya msingi ya wikipedia. K.m. naingiza kigezo cha {{DEFAULTSORT}} kwa ajili ya orodha ya makala katika jamii ifuate alfabeti vizuri. Tena naingiza jamii za miaka ya kuzaliwa (k.m. [[Jamii:Waliozaliwa 1841]]) na ya kufariki (k.m. [[Jamii:Waliofariki 1925]]). Pia, ikiwa ni makala fupi bila maelezo mengi, naingiza kigezo cha {{mbegu-mtu}} (yaani kama ni mtu). Hatimaye, naingiza kiungo kwa wikipedia ya Kiingereza (k.m. [[en:Henri Fayol]]) ambapo naweza kupata code kwa picha ya mtu (k.m. [[Image:Fonds henri fayol.jpg|thumb|right|Henri Fayol]]) pamoja na habari nyingine. Nitashukuru kwa msaada wako katika kuboresha makala mpya zilizoachwa duni. Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 07:17, 3 Februari 2010 (UTC)

 

Ndugu Limoke, asante kwa jibu lako. Nimefurahi kusikia kuwa utaendelea. Unisamehe nikiendelea kuandika kuhusu usafishaji wa wikipedia baada ya shindano. Sababu hasa ni kwamba tukiendelea kuboresha makala zilizoongezeka, tuwe makini. Kabla hatujaongeza au kurekebisha habari za makala fulani, lazima tuangalie majadiliano na ukurasa wa historia ya makala hiyo. Angalia k.m. makala ya uchumi. Ukiihariri bila kuangalia majadiliano yake wala historia yake, inawezekana utaongeza kazi ya baadaye kwa vile tafsiri za shindano zilizofuta makala za zamani (pamoja na jamii na interwiki zake) hazijaunganishwa. Nitaendelea kutafuta makala kama hiyo na kuziandikia katika majadiliano yake. Kwa ajili ya kuunganisha tafsiri mbili au zaidi, labda itasaidia ukifungua zote, kila moja katika dirisha lake, na kunakilisha sehemu za makala za zamani kwenda katika makala ya sasa. Pole na kazi. Na asante kwa kazi yako. (Pia, ukiandika kwenye kurasa za majadiliano, ungeweza kutia sahihi kwa kutaipu ~~~~ ukiwa umesajiliwa kama Limoke oscar.) Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 04:08, 4 Februari 2010 (UTC)

 

Mkiangalia historia ya makala ya uchumi iliyotajwa hapo juu, mtaona kwamba tafsiri zote za „Challenge“ zilirejeshwa. Tusifanye kazi bure walivyofanya hao.

 

Sina lingine kwa sasa ila kuwatakieni mafanikio mema siku ya J’mosi ya Wikipedia. Asanteni!

Ni mimi, Baba Tabita (aka Oliver)

 


From: Abbas Mahmood [mailto:abbasjnr@hotmail.com]
Sent: 21 April 2011 19:28
To: oliver_stegen@sil.org; 'The discussion li
st for the upcoming Wikimedia Kenya chapter.'
Subject: RE: [Wikimedia Kenya] WikiSaturday

 

It is supposed to be on 30th.


From: oliver_stegen@sil.org
To: wikimediake@lists.wikimedia.org
Date: Thu, 21 Apr 2011 19:06:56 +0300
Subject: Re: [Wikimedia Kenya] WikiSaturday

I understood WikiSaturday to be on April 30, not April 23 … ?!?

Alex, for when have you booked iHub?

In any case, I may have to join you from home as family usually keeps me occupied on Saturdays.

Oliver (aka BT)

 


From: wikimediake-bounces@lists.wikimedia.org [mailto:wikimediake-bounces@lists.wikimedia.org] On Behalf Of SAMSON MAOSA
Sent: 21 April 2011 17:01
To: The discussion list for the upcoming Wikimedia Kenya chapter.
Subject: Re: [Wikimedia Kenya] Survey

 

Greetings all, hoping everyone is contented now. Speaking of WikiSaturday, since I am far from Nairobi I will start mine tomorrow. Whether it is Tomorrow I will do Swahili Wikipedia and on Saturday, if I get internet, will do English Wikipedia. Have a good friday all.
--
__________________________________________________________________________________
Samson Arosi Maosa,

Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology,
Bsc. Electronics and Computer Engineering
+254750-nine-one-seven-three-zero-five
"In this world, everything has been done but suppose we try doing it in a different (better) way?"
Make someone know what you already know. Join us now at Wikimedia Kenya


_______________________________________________ WikimediaKE mailing list WikimediaKE@lists.wikimedia.org https://lists.wikimedia.org/mailman/listinfo/wikimediake


_______________________________________________
WikimediaKE mailing list
WikimediaKE@lists.wikimedia.org
https://lists.wikimedia.org/mailman/listinfo/wikimediake




--
Mr. Stephen W. Wanjau
Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology
Freelance article writer and data entry specialist.
Phone: +254 771 557 857
twitter: @haha_wanjau
facebook: www.facebook.com/.swanjau


    

WebRep
Overall rating